Advertisements

Sunday, July 29, 2012

FUTARI YA PAMOJA DMV

Iddi Sandaly Rais wa Jumuiya ya Watanzania DMV akiongea jambo kwenye Futari ya pamoja iliyofanyika Hillandale Park, Silver Spring.\, Maryland Siku ya Jumamosi July 28, 2012.
Watanzania wa DMV na marafiki zao wakijumuika pamoja kwenye Futari ya pamoja iliyofanyika Hillandale, Silver Spring, Maryland.
Gadafi akiwa kipaza sauti
Wakina mama wakiwa na watoto wao katika Futari ya pamoja iliyofanyikia Hillandale Park, Silver Spring, Maryland siku ya Jumamosi July 28, 2012.
Afisa Ubalozi Abbas Missana akiwa (shoto) na Al-Amin Hassan Chande Othman katika picha ya pamoja.
Salma Londa (shoto) akipata picha ya pamoja na Farida
Watanzania waliojumuika pamoja kwenye Futari DMV wakiwa kwenye picha ya pamoja.
Wakina mama wa DMV wakiwa kwenye Futari ya pamoja DMV iliyofanyika Jumamosi July 28, 2012 Hillandale Park.
Watanzania wa DMV na marafiki zao katika picha ya pamoja kwenye Futari iliyofanyika Hillandale Park, Silver Spring, Maryland.
Wakiana mama wa DMV katika mjumuiko wa pamoja kwenye Futari iliyofanyika Hilandale Park Jumamosi July 28, 2012.
Kwa picha zaidi Bofya Read More

 

No comments: