Emmanuel na Gloria wakiwa meza kuu kwenye Sherehe za kumuaga Gloria ilizofanyika siku ya Jumaosi July 21, 2012 Gaithersburg, Maryland. Bwana Harusi mtarajiwa anatokea Liberia na Harusi yao itafanyika mwanzoni wa December mwaka huu
Familia ya Gloria ikiwa meza kuu.
Familia ya Emmanuel ikiwa meza kuu
Vazi lilikua ni la kiafrika kama unavyowaona hawa wageni waalikwa wakiwa wamependeza sana.
Mmoja ya Ndugu wa Gloria akiwa na mwanae.
Dr. Niku akipiga picha ya pamoja na Nd. George ambae pia alikua Mshereheshaji kwa muda.
Wageni waalikwa wakipata picha ya pamoja.
Watoto nao katika pozi
Wageni waalikwa katika picha ya pamoja.
Wageni waalikwa waliojumuika kwenye sherehe ya kuagwa ya Gloria wakipata picha ya pamoja.
Kwa picha zaidi Bofya Read More
No comments:
Post a Comment