Advertisements

Monday, July 30, 2012

HAPPY BIRTHDAY ZAY B

 May almightys best blessings showered on your Happy Birthday Zay B

3 comments:

Anonymous said...

Dada yetu umetimizima miaka mingapi?tunaomba wadau kujua unajipongeza kwa kutimiza miaka mingapi,ndo italuwa imeleta sense kidogo, kama tunavyosoma wadau wengine wanaojipongeza mfano kwa kufikisha miaka 50 au 100 nakadharika.
mnuso mwema wa bisidei.

Anonymous said...

Mmmmh!look @ that "BABY FACE" ZAY B wa ukwee' dada huzeeki?,usitudanganye revola tupe mavitu na sisi tuwe kama wewe?.Happy day mamaa!pati sambusa na vitumbua wapi?tehe!te!tehe!.

Anonymous said...

DMV mbona hampitwi?wewe lini uliweka umri wako hapa waziii?hata b'day hujawahi kufanya tangu uje Amerika,kila siku una miaka 25.Hajataka kusema muache,si lazima ni hiari yake.Happy b'day "ZAY B".Mchizi wako wa kichangachui hapaaaa!.