ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, July 22, 2012

KESHO JUMATATU VIJIMAMBO ITALONGA NA VINCENT MUGHWAI

Kesho Jumatatu July 23, Vijimambo italonga na Vincent Mughwai, mwanadiaspora aliyeamua kurudi Tanzania, pamoja na historia yake atatueleza hali halisi ya maisha yalivyo Tanzania na ana ushauri gani kwa Mtanzania aliyemaliza masomo ugaibuni na mwenye matarajio ya kurudi Tanzania kutafuta Kazi- USIKOSE KUMSIKILIZA.

1 comment:

Anonymous said...

Na wewe utarudi lini?