ANGALIA LIVE NEWS

Thursday, July 19, 2012

Maendeleo ya msiba wa Jeffrie Jones





TANZIA
 Jeffrie Bernard Jones
wakati wa uhai wake

Jeffrie Bernard Jones, mume wake Florah Mnkande alipokuwa anatoka Ohio siku ya Jumatatu Julai 9, 2012 alipata ajali ya gari.  Amefariki dunia Julai 14, 2012.  Mipango ya mazishi inafanyika nyumbani kwake
18114 Samuel Circle
Hagerstown, MD 21740
Kwa ajili ya mazishi, accounts imefunguliwa kama ifuatavyo kupitia Florah Anna Mnkande:
Bank of America - Routing# 052001633 na account# 446024022257

Florah Mnkande(mke wa marehemu-Jeffrie Jones)kwa heshima kubwa anawashukuru Wana-DMV wote kwa kuifariji familia yake pamoja na mchango wenu wa hali na mali katika kipindi hiki kigumu cha kufiwa na kipenzi mume wake-Jeffrie Jones.
Mpaka jana rambi rambi zilizokusanywa pamoja na fund-raiser(mnada)ni $8,930.00. Rambi rambi iliyokusanywa toka Jeffrie Jones amefariki ni $6,070.00 na fund-raiser iliyokusanywa ni $2,860.00.
Asanteni kwa moyo wenu wa upendo na ushirikiano mkubwa. Mungu awabariki sana.


Tunatarajia mazishi yatafanyika Jumamosi Julai 21, 2012.  Ibada ya mazishi itaanza saa Nnne(4) asubuhi katika kanisa  hilohilo hapo juu. 
Kwa taarifa zaidi tafadhali wasiliana na:
Baraka Daudi              301-792-8562
John Mbatta                703-863-2727
Ferdinand Shideko      240-476-6718
Salum Mkamba           443-538-1821
David Mtema              703-589-0616
Lutamila Sallu             202-487-1843
Julia Shirima               301-305-5731
Rossie Wasira Masika 240-706-0406
-----------------------------------------------------------------------------------------------

OBITUARY



 Jeffrie Bernard Jones

During his heydays

Jeffrie Bernard Jones, husband of Florah Mnkande was involved in an auto accident on Monday July  9, 2012.  He was pronounced dead on July 14, 2012.  Funeral arrangements are being organized at his residence:

18114 Samuel Circle

Hagerstown, MD 21740
To defray funeral costs a donation account has been established through Florah Anna Mnkande as follows:
Bank of America - Routing# 052001633, Account# 446024022257.     Your donation will be highly appreciated.
Burial ceremonies are scheduled to take place on Saturday July 21, 2012 at the above mentioned church beginning at 10 A.M.
For more information please contact:
Christina Jones            302-331-6511
Baraka Daudi              301-792-8562
John Mbatta                703-863-2727
Ferdinand Shideko       240-476-6718
Salum Mkamba           443-538-1821
David Mtema              703-589-0616
Lutamila Sallu             202-487-1843
Julia Shirima                301-305-5731
Rossie Wasira Masika            240-706-0406

No comments: