ANGALIA LIVE NEWS

Monday, July 23, 2012

Mdau Aggrey Urio aangusha BBQ Party Reading

Mr & Mrs Aggrey Urio
Francia na Sheilamina wakila pozi
Mdau akileta mkaa kuendeleza makamuzi ya kuchoma nyama
Nyama zilichomwa zikachomeka
Dj Ritchie akiwa akiendeleza makamuzi kama kawa
Mr & Mrs Aggrey Urio wakila pozi na wadau
M/kiti wa Tanz- UK DR Lusingu akifurahia jambo akiwepo Masija na Sheilamina,
Mda wa msosi umewadia mama Nasibu very busy
Mr & Mrs Aggrey Urio wakila mapozi na wadau
Wadau kutoka Ukerewe aka Mji wa Kusoma wakijiachia
Mr & Mrs Urio wakila pozi.
Aggrey akikagua kama nyama ziko tayari
---

Siku ya jumamosi tarehe 21.7.12 mdau Aggrey Urio alifanya sherehe ya kuchoma nyama hapa mjini Reading kusheherekea siku yake ya kuzaliwa ikienda sambamba na kuwatambulisha wadau mke wake Eunice aliekuja rasmi kutoka Tanzania. Aidha Aggrey alichukua fursa hii kuwashukuru wadau wote waliomwezesha kufanikisha kufunga ndoa yake nyumbani Tanzania hivi karibuni.


Mojawapo wa wageni waalikwa alikua Mwenyekiti wa TANZ- UK Dr John Lusingu.


Asanteni,


Urban Pulse Creative

No comments: