Mr & Mrs Beda wakiwa na Baba Askofu Msonganzila wa Jimbo la Musoma ambae aliongoza Ibada ya kusherehekea Miaka 50 ya ndoa yao iliyofanyika katika Kanisa la Parokia ya Mwisenge, Musoma na kuhudhuliwa na Mapadre pamoja na watawa wengine wakiwemo Watoto wao, ndugu, jamaa na marafiki na baadae kwenye chakula cha mchana kwenye ukumbi wa Simba Club unayotazamana na Kanisa hilo
Baba Askofu Msonganzila wa Jimbo la Musoma akiwakabidhi Mr & Mrs Beda Bibilia Takatifu.
Baba Askofu Msonganzila wa Jimbo la Musoma akiwakabidhi Mr & Mrs Beda zawadi mbalimbali.
Baba Askofu Msonganzila wa Jimbo la Musoma akiwakabidhi Mr & Mrs Beda Certificate ya pongezi na baraka kutoka kwa Pope John Paul wa XVI, yenye sahihi na mhuri toka kwa Pope.
Mr Beda akionyesha Certficate ya pongezi na baraka toka kwa Pope John Paul wa XVI
Mrs Beda akiongea machache kumshukuru Baba Askofu, watoto wao, Ndugu, jamaa na marafiki.
Mr Beda akimlisha keki Mama mwenye nyumba wake.
Mrs Beda akimlisha keki Baba mwenye nyumba wake.
Mrs Beda akimlisha keki Baba Askofu.
Blaise akiwa na mama mwenye nyumba wake (kushoto) wakimzaqadia mama.
Blaise akiwa na mama mwenye nyumba wake, Caroline (kushoto) wakimzawadia Baba
Kwa picha zaidi Bofya Read More
5 comments:
Hongereni sana wazazi wetu, na Mungu azidi kuwabariki. Tunawapendeni sana. Ni wachache wanafikia umri huo wakiwa bado pamoja. Tumshukuru Mungu kwa yote.
i guess we did miss it big time, very sweet.
congrats
Pole sana binti kisigiso kwa kukosa shughuli hiyo ya wazazi wako. kweli umepitwa na kitu kizuri sana haitakaa itokee tena. Msalimie sana Ojo mwambie ndiye aliyesababisha usiende kwenye shughuli jamani. Wazazi hongereni sana mlipendeza mnooooooooooooooo!
This is fantastic indeed! Beda and Katarina, my good friends, you deserve golden congratulaions. I am very proud of you.
Mama Keith
That was a gift from God. May our Almighty God Grant them many more yrs with gratitudes Amen. We wish to reach that moment.
Post a Comment