Tuesday, July 31, 2012

YANGA WALIVYOTWAA UBINGWA WA KAGAME 2012.


Picha ya pamoja
Kikosi cha timu ya Yanga
Mshambuliaji wa timu ya Yanga akishangilia na Kombe mara baada ya timu yao kutwaa Ubingwa wa ligi ya Kagame
Mkuu wa Mkoa akikagua timu za Azam na Yanga wakati wa fainali ya Ligi ya Kagame
Picha ya pamoja ya Yanga, Azam na Mgeni rasmi
Kikosi cha timu ya Azam
Mshambuliaji wa timu ya Yanga akishangilia mara baada ya kuipatia timu yake ya Yanga goli la kwanza
Mashabiki wa Yanga wakishangilia
Kipindi cha kwanza kilimalizika Yanga 1 na Azam 0.
Huyu ndio yule mwali aliyerudi Jngwani kwa mara nyingine tena
Mashabiki wa Yanga wakishangilia kwa furahaaaaaa...
Kipindi wengine wanafurahia ,duh wengine wanahudhuni
Mmbo yalikuwa kama hivi
Yanga wanafurahaaaaaaa
Mshambuliaji wa Yanga,Said Bahanuzi aliwachachafya kama hivi


Furaha ya Goli la pili lililofunngwa na Said Bahanuzi wakiwa chini baaada ya kugongana na mshambuliaji mwenzake Hamis Kiiza huku waandishi wa habari wakiwajibika
Bahanuzi chali na Kiiza chali
Hii ni balaa
Wachezaji wa Yanga wakishangilia kwa  furaha
Mambo ya fuhara haya,mashabiki wa Yanga wakishangilia
Said Bahanuzi akishangilia
Kocha wa Yanga akiwa na furaha akiwashukuru mashabiki wa Yanga kwa kuwaunga mkono
Wachezaji wa Yanga wakishangilia
Yote haya ni furahaaaaaaaa
Safi sanaaaaaaaaa
Kiiza,kweli yametimia Kombe la Kagame limebaki
Wachezaji wa Yanga wakicheza kwa furaha baada ya kutwaa ubingwa
Kochaaaaaaaaaaaaaa
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam akimkabidhi Kombe, Nahodha wa Yanga, Haroub Kanavaro
Mkuu wa Mkoa ,nahodha wa Yanga, Kanavaro wakishangilia na Kombe
Wachezaji wa Yanga wakishangilia na Kombe
Wachezaji wa Yanga wakishangilia na Kombe
Wakishangilia
Kocha wa Yanga akishanmgilia na Kombe mara baada ya timu ya Yanga kutwaa ubingwa. Picha kwa hisani ya Machellah shijja.

No comments: