Monday, August 13, 2012

AINA HII YA VIATU VINAITWAJE VILE!!!

7 comments:

  1. Platform ngazi nne

    ReplyDelete
  2. miaka ya zamani kipindi cha miaka ya sabini mwishoni na miaka ya mwanzo ya themanini vilikua vinaitwa "laizoni: vilikua maarufu sana, kiwanda cha bora nao walijitahidi kutengeneza laizoni za kina mama mpaka za ngazi tatu

    ReplyDelete
  3. Hii ni "Raizon" mzee wangu. Ukiweka hapo na "buga luu" na kihati cha kubana disco kawa enzi hizo. Dada zangu na kaka zangu walivaa sana hiki kitu. Na nywele unachana afro Weweeeee!!! We acha tu.

    ReplyDelete

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake