Monday, August 13, 2012

MKUTANO WA CHADEMA READING



M4C
VUA GAMBA VAA GWANDA READING
CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO TAWI LA LONDON
TUNAPENDA KUWATANGAZIA WATANZANIA WOTE WAISHIO MAENEO YA READING NA KARIBU YAKE (Slough nk) KUWA KUTAKUWA NA MKUTANO MKUBWA UTAKAOFANYIKA TAREHE 26/08/2012 
MUDA NA SEHEMU YA MKUTANO MTAJULISHWA BAADAE 
KATIKA MKUTANO HUO MAMBO MBALI MBALI  YATAFANYIKA IKIWA NI PAMOJA NA HAYA YAFUATAYO;
USAJILI WA WANACHAMA WAPYA
KUCHAGUA WAWAKILISHI WA MUDA KUTOKA READING
KUANZISHA MFUKO WA KUFA NA KUZIKANA KWA MANUFAA YA WATANZANIA WOTE(mpaka sasa mtanzania akifariki UK hakuna taaluma au ofisi yoyote inayotoa msaada. tutaanzisha mfuko utakaotumika kusaidia kusafirisha marehemu pamoja na mfiwa nyumbani)
WANACHAMA WA CCM WALIO NA UCHUNGU NA NCHI YAO WATAVUA GAMBA NA KUVAA MAGWANDA SIKU HIYO
SISI SOTE NI NDUGU TATIZO NI CCM.
NI WAKATI WA KUSIMAMA NA KUSEMA TUMECHOKA !
KARIBU USHIRIKI KWENYE TUKIO HILI LA KIHISTORIA
KWA MAELEZO ZAIDI WASILIANA NA HAWA WAFUATAO
MWENYEKITI ;- Chris Lukosi  07903828119
KATIBU MWENEZI ;-  Chris Chagula  07405889880
Asanteni sana
PIPOOOOOOOOOOOOZ!

1 comment:

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake