ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, August 26, 2012

AUDITION YA 'ALLY REHMTULLAH COLLECTION 2013' IMEANZA KATIKA HOTELI YA SERENA JIJINI DAR.


Pichani Juu na Chini ni Sehemu maalum iliyoandaliwa kwa ajli ya majaji pamoja na Jukwaa la kutembelea Models.

Majaji watakaofanya Usaili wa kutafuta wanamitindo watakaoshiriki kwenye Onyesho la Mavazi la Ally Rehmtullah Collection 2013 litakalofanyika tarehe 8 September 2012 wakibadilishana mawazo leo kwenye Hoteli ya Serena jijini Dar kabla ya kuanza usaili huo.

Baadhi ya Models waliojitokeza kushiriki katika usaili huo wakitafakari itakuwaje...???Kwa wanaotaka kushiriki endeleeni kujitokeza.

No comments: