ANGALIA LIVE NEWS

Saturday, August 25, 2012

GAEL BIGIRIMANA MBURUNDI ANAECHEZEA NEWCASTLE UNITED

Gael Bigirimana - Newcastle United v Olympiacos - Pre Season Friendly
Gael Bigirimana akianguka chini wakati wa mechi za majaribio timu yake ya NewCastle United ilipocheza na Olympiacos July 27, mwaka huu.

Gael Bigirimana (18), mchezaji kiungo anayechezea timu ya Newcastle mwenye asili ya Burundi aliyezaliwa Bunjumbura, October 22, 1993 mama ni Mburundi na baba ni Mrwanda alihamia Uingereza na mama yake kama mkimbizi mwaka 2004 na alishawahi kuishi Uganda kwa muda.

+
Gael Bigirimana alianzia kucheza mpira Uingereza alipojiunga na timu ya watoto ya Coventry City.
Gael Bigirimana - Coventry City v Nottingham Forest - npower Championship
Gael Bigirimana akimpongeza mchezaji mwenzake Lukas Jutkiewicz wakati alipokua na timu ya Coventry City ya Uingereza.

No comments: