ITIKA MWAKASULA KATIKA SINEMA INGINE YA FALSE ENGAGEMENT
Itika Mwakasula Mtanzania anaeishi Dallas, Texas Nchini Marekani akiwa kwenye lost in abroad video release Ijumaa Aug 17 mjini Dallas, TX na sasa amecheza sinema Ingine inayoitwa false engagement ambayo ina trailer clip hapo chini katika sinema hii Mtanzania ni yeye na Wakenya ni wawili pia wanatarajia kwenda kuizindua Bongo mwakani. for more in about dvd. wanaweza kwenda www.lostinabroad.com
No comments:
Post a Comment