Thursday, August 30, 2012

Membership fees and Registration Anouncement



Baada ya majadiliano kati ya wajumbe wa Executive Committee na Board of Directors, wote kwa pamoja Tumepitisha kipengele muhimu cha Jumuia yetu (Membership Fees and Registrations) kama ifuatavyo:
·        Registration (Membership Card) Itakuwa  $     15.00
·        Subscriptions (Monthly Installments of $10.00 for 12months)                                                                                                                                                                                  Njia za Malipo:
·        Tuma check or Money Order kwenye P.O. Box ya Jumuia
ATC DMV
P.O.BOX 10398
SILVER SPRING MD 20914

Tafadhali andika address yako kwenye bahasha ili tuweze kukutumia receipt yako pamoja na membership card mapema iwezekanavyo.

·        Kwa Njia ya Bank:
PNCBANK
Account # 5313293767
Route#      054000030

Ukitumia njia hii tafadhali mpigie simu mweka hazina ili aweze kukutambua na kukupatia receipt yako mapema pamoja na membership card mapema iwezekanavyo.

·        Kwa maelezo zaidi kuhusu membership fees tafadhali contact viongozi wa Jumuia.

Iddy Sandaly-President
Simu: 301-613-5165
e-mail: atcdmv@gmail.com       

Raymond Abrahamu-Vice President
Simu: 301-793-4467

Amosi Peter Cherehani- Secretary
Simu:  240-645-2131

Genes Malasy-Treasury
Simu:  301-367-8151

No comments: