Mkuu wa Wilaya ya Tanga, Halima Dendego (kushoto) akiongea machache mara baada ya kutembelea timu nzima ya Serengeti Fiesta 2012. Ambapo Mkuu huyo wa wilaya alisisitiza watu wajitokeze kwa wingi uwanja wa Mkwakwani kwenye tamasha la Serengeti Fiesta 2012 huku akitoa msisitizo kwa wakazi wa Tanga kujitokeza katika zoezi la sensa. Tamasha la Serengeti Fiesta linatarajiwa kufanyika leo tarehe 26.8.2012
Baadhi ya wageni wakimsikiliza kwa makini mkuu huyo wa wilaya ya Tanga.
Afisa Mausiano wa Clouds Media Group, Simon Simalenga akitoa msisitizo wa jambo mbele ya mkuu wa vipindi wa Clouds Fm Sebastian Maganga pamoja na Mkuu wa Wilaya ya Tanga, Halima Dendego.
Mkuu wa Wilaya ya Tanga, Halima Dendego (katikati) akiwa katika picha na timu ya Serengeti Fiesta 2012 pamoja na wageni.
akiaga mara baada ya maongezi
No comments:
Post a Comment