MNYIKA KAMA NAPE AMEGOMA KUOMBA RADHI CHADEMA KITAMBULIZA MAHAKAMANI NAPE
Leo Nape Nnauye
amekwepa kujibu hoja ameibua vioja. Kwa kuwa amekataa kuomba radhi,
CHADEMA kitamburuza mahakamani kwani madai yake ya uongo kwa CHADEMA
imepata mabilioni toka nje hayawezi kuwa na ushahidi wa ukweli.
Nape
na CCM wajibu hoja kwa kuwa Dr. Slaa alitaja mpaka namba ya silaha, CCM
ilipaswa kueleza iliingiaje nchini na suala ambalo Nape hajui kwa hiyo
tunasubiri jibu la Mwenyekiti wa CCM, Rais Kikwete. CCM huwa wanatoa
madai ya uongo dhidi ya CHADEMA ushahidi ni hukumu ya kesi ya Igunga
ambapo ilithibitika Katibu Mkuu wa CCM, Wilson Mukama alizusha kuwa
CHADEMA imeingiza magaidi toka nje ya nchi.
Kati
ya CHADEMA na CCM ni chama kipi kimepoteza mvuto jibu wanatoa wananchi
wanavyounga mkono vuguvugu la mabadiliko (M4C) kwa hali na mali kwa
kiwango cha C
CM kufanya siasa chafu.
Baada
ya Dr.Slaa kufichua silaha za CCM, leo wametumia za polisi Morogoro.
Umma umeweka hofu pembeni, mkutano umejaa nami naelekea huko tukawavue
magamba. Peopleeee……..ss!!!
Imeandikwa na
John John Mnyika
Mkurugenzi wa Habari na Uenezi
27 Agosti, 2012
No comments:
Post a Comment