
Caroline na Donald wakiwa meza kuu katika harusi yao ilyofanyika Jumampili Aug 5, 2012 Martins Camelot iliyopo Upper Marlboro, Maryland Bi Harusi ni Mkenya na Bwana Harusi ni Mmarekani.
Meza kuu inavyoonekana kwa mbali

Caroline na Donald wakikata Keki

Juu na chini Bi na Bwana Harusi wakilishana Keki
Wapambe wa Bi na Bwana Harusi

Wasimamizi

Bi na Bwana Harusi wakati wa Champagn

Vijana wakipata Ukodak Moment.

Familia ya Mallya

Mlimbwende
Geradine (kulia) akipata picha ya pamoja na maharusi
No comments:
Post a Comment