Habiba na Farida Jetha wanamasikitiko makubwa na kuwataarifu msiba wa kaka yao mpendwa Mohammed Jetha uliotokea leo Tanzania kama ilivyo mila na desturi yetu kupeana pole ndio ustaarabu wetu hasa katika kipindi hiki kigumu cha msiba.
Msiba hapa DMV upo
2445Lyttonsville Rd,
Silver Spring, MD 20910
Kwa maelezo zaidi na maelekezo wasiliana na:
Farida Jetha 240 593 7370
Habiba Jetha 240 778 7567
Jabir Jongo 240 604 0574
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake