|
Sarah Attar |
wanamke wa kwanza raia wa Saudi Arabia kushiriki mashindano ya
Kimataifa Sarah Attar amemaliza mbio za mchujo aliposhiriki mbio za mita
800na ingawa alimaliza wa mwisho alishangiliwa na ummati wa watu
waliokuepo uwanjani..
Kwa sababu kwa mwanamke kutoka Saudi Arabia, kubwa siyo kushinda wala kuweka rekodi, bali msingi kushiriki..
No comments:
Post a Comment