Naibu
Waziri wa Afrika Mashariki, Mhe. Abdullah J Abdallah, amenusuirika
katika ajali ya gari leo jioni katika maeneo ya Tumbi - Kibaha wakati
akitokea Bungeni Dodoma akielekea Dar. Ndani ya gari alikuwa pamoja na
mkewe na watoto wake ambao wote wamepata majeraha madoho, dereva wake
ameumia zaidi na hivyo kulazimika kukimbizwa katika hospitali ya Tumbi.
Picha: Abdulaziz
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake