William Malecela (Le Mutuz)
PEOPLE HUKU BONGO WATU WOTE TUMECHOKA, ILA NI UBISHI NA KUKOMAAA NAPO, AMA SIVYO UTABAKIA KULIA KULIA TU NA KULALAMIKIA WENGINE MJINI HAPA JIPANGE HAKUNA TAJIRI HAPA! HA! HA!- WOTE WABANGAIZAJI, JICHANGANYE NA WATU, KUWA MBISHI NA MAISHA; USILIE LIE SANA KUHUSU MAISHA; UKIBANWA SANA OMBA MSAADA WA KUFUNDISHWA KUVUA SAMAKI SIO KUOMBA SAMAKI, UTAKIMBIWA NA WATU, ALWAYS TAFUTA SIZE YAKO SIO KURUKIA MAMBO USIYOYAWEZA, MJINI HAPA!! JIONI NJEMA PEOPLE!! - RESPECT - LE MUTUZ!!
4 comments:
le mutuzi umesema kweli une nail on the right wood imengonga kinoma noma nimeipenda imekaa poa msemo wako.salaam mamaa watotoz na kula raha zako bongo
mdau NY
swadakta, neno hilo le Mutuz
william maneno yako yamekaa fresh ile mbaya nayakubali le mutuz nakukubali mwanangu salaam wote bongo
mdau NY
LE MUTUZ UNAZIDI KUNGARA NA KUONEKANA DOGO DOGO NIPE SIRI YAKO LE MUTUZ
MDAU L.A
Post a Comment