Advertisements

Monday, August 20, 2012

SHEREHE ZA EID DMV ZAFANA

Balozi wa Tanzania Nchi Marekani na Mexico, Mhe. Mwanaidi Maajar akiwa na Mumewe Bwn Shariff Maajar (kushoto) katika picha ya pamoja na  kiongozi wa Jumuiya ya kiislam DMV (TAMCO) Bwan Mganga Mhombelage kwenye sherehe za Eid zilizofanyia Hillandale na kuhudhuliwa na Watanzania wa DMV na marafiki zao wanao toka majimbo ya jirani.
Kushoto ni Afisa Ubalozi Abbas Missana akiwa na Rais wa Jumuiya ya Watanzania DMV Bwn Iddi Sandali (kati) na kiongozi wa Jumuiaya ya Kiislaam DMV (TAMCO), Seif Ameir.
Balozi wa Tanzania Nchini Marekani na Mexico, Mhe. Mwanaidi Maajar ( watatu toka kushoto) akiwa na Mumewe Bwan. Shariff Maajar (watatu toka kulia) wakati wa picha ya pamoja na viongozi wa Jumuiya ya Kiislam DMV (TAMCO) wakati wa sherehe za Eid zailizofanyikia Hillandale Park Jumapili Aug 19, 2012 
Juu na chiani ni Mhe. Balozi akiwa na mumewe wakipiga picha ya pamoja na Watanzania walohudhulia katika sherehe za Eid zilizofanyika Jumapili Hillandale Park, Silver Spring, Maryland.
Watoto wakifurahia Eid kwa kucheza kwenye Moonbounce
Watoto wakipata picha ya pamoja ndani ya Moonbounce.
Tenti lilitengenezwa maalum kwa sherehe za Eid
Mfanyakazi wa Voice of America(VOA) Mama Hadija Riyami 
kushoto ni Aunty Ummy, Mke wa Dr. Mwamoyo Hamza akiwa na ndugu yake katika sherehe hizo za Eid
Watanzania wa DMV na marafiki zao wakisherehekea Eid
Watanzania toka Toronto, Canada nao wakiwa kwenye sherehe za Eid
Ali Rwegasira (kulia) anaeishi Jimbo la Connecticut akipata picha ya pamoja na Watanzania marafiki zake wa DMV kwenye sherehe za Eid zailizofanyika Hillandale Park Silver Spring Jumapili Aug 19, 2012.
Kwa picha zaidi bofya read more


No comments: