Saturday, August 11, 2012

TANGAZO

Je una mtoto au unamfahamu mtu mwenye mtoto ambaye ana ulemavu wa akili umri wa miaka 5 mpaka 15? 
Tafadhali wasiliana na sisi kutumia tumacare@gmail.com
Ili upate maelezo zaidi juu ya NGO itakayotoa huduma kwa watoto hao Tanzania.
Asante 

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake