ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, September 2, 2012

MWENYEKITI WA IRINGA PRESS CLUB DAUDI MWANGOSI AFARIKI DUNIA KATIKA MAPAMBANO YA POLISI NA CHADEMA MKOANI IRINGA


polisi wakitoa taadhari ya kuanzisha mashambulizi


Mwili wa Marehemu Daudi Mwangosi ukiwa chini

Polisi wakiwatawanya watu karibu na Mwili wa Daudi Mwangosi

Polisi wakitathimini Mpambano


mabomu yakiwa yamelipuliwa




3 comments:

Anonymous said...

INASIKITISHA SANA, TZ YA SASA NA TUNAKOELEKEA SIO KUZURI, DO WE HAVE LEADERS...?REALLY????

Anonymous said...

Hatuna viongozi TZ. Ni mtandao wa majambazi/mafisadi- what ever you wana call it. Hii yote inatokana na ubinafsi mtu/watu wanalinda kibarua chao at any cost.Kuliko mwandishi wa-habari atuonyeshe kinachotokea ni afadhali wamuuwe. Daah! Hivi ndio mzazi au ndugu yako anauwawa hivi sijui kwakweli inaitaji moyo wa ziada wa uvumilivu. No matter what; I know God is watching na iko siku tu!

Anonymous said...

WATASEMA NI 'KITU KILICHORUSHWA' NA WATAUNDA TUME YA KIPOLISI KUCHUNGUZA KIFO HICHO. LAKINI WAJUE KUWA MUNGU NI WA WOTE.NA UKWELI HUJA MWISHONI. POLENI SANA WANAFAMILIA WA NDUGU YETU MWANGOSI, MUNGU AMETOA NA POLISI WAMETWAA. JINA LAKE LITUKUZWE.