Thursday, September 13, 2012

DARAJA LA KIGAMBONI

Daraja la Kigamboni likiendela kujengwa katika Bahari ya Hindi eneo la Kurasini jijini Dar es Salaam. Litakapokamilika litakuwa na njia sita na barabara za juu na kuwa moja ya daraja kubwa na la pekee kwa nchi za Afrika Mashariki na Kati.

No comments:

Post a Comment

bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake