Lilifika Gari moja kwanza
Hali ilipo zidi kuwa tete yakaongezeka Mawili
Sasa Yamekuwa matatu na yote yamejaa FFU kwa ajili ya kulinda usalama wa wananchi..
Hata Hivyo mpaka tunapo toa Taarifa muda huu Polisi hao wamesha ondoka eneo la tukio, na mambo ni Shwari kabisa.
Hili lilikuwa tuu ni tukio Live katika picha kuwaonesha jinsi mambo yanavyo kwenda pande za Arusha
PICHA ZOTE NA



No comments:
Post a Comment