ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, September 12, 2012

Maandalizi ya Siku ya Mtanzania - katika hatua za mwisho mwisho

 Juu na chini ni Balozi wa Tanzania nchini Marekani na Mexico Mhe. Mwanaidi Sinare Maajar
akiwa kwenye mkutano na viongozi wa Jumuiya mbalimbali za Watanzania DMV
kama sehemu ya maandalizi ya Siku ya Mtanzania tarehe 15 Septemba 2012.
Kwa kupitia viongozi hao, Mhe. Balozi anaomba Watanzania wote wkujitokeza
kwa wingi na kuleta wageni (wamarekani) ili kuitangaza Tanzania.

5 comments:

Anonymous said...

Jamani mbona mnatuchanganya? Mmetangaza kuwa Ubalozi na Jumuiya watanzania ndiyo wanaoandaa hii shughuli. Jumuiys yetu haina itikadi wala dini sasa mbona tunaona viongozi wa vyama nao wamo???? PLEASE I HOPE HAKUTAKUWA NA KADI ZA CHAMA ZINAUZWA SIKU HIYO PLEASE AU WATU KUVAA MIGWANDA YAO AU MAKIJANI YAO SISI TUNATAKA TUJE TUFRAHI KAMA WATANZANIA HIZO KADI ZENU MNAZOZIUZA HATA KWENYE MISIBA INATOSHA KEEP THEM MPAKA MKUTANO MKUU WENU WA CCM CHADEMA OR CUF. HII NI SIKU YA MTANZANIA NA SI YA KINA CCM AU CHADEMA HATUTAKI NGUMI SIKU HIYO

Anonymous said...

mama balozi anajishughulisha kweli jamani....

Anonymous said...

Mdau wa kwanza umenena maana hapa DMV siku hizi kina dada wamekuwa mabondia jazba sijui za siasa au za kuibinana mabwana! Its a pitty kina dada wa DMV Mnatuabisha sisi wengine tunaoishi hapa DMV kila ninayeongea naye out of state anauliza kulikoni siku hizi DMV tunasikia vyama na ngumi vimeshika hatamu kwa wengi tunakumbuka hapa DMV since 80's pamekuwa na watu wastaarabu wakiishi bila ngumi wala matusi kwenye public blogs, hii inatafsiri nyingi na mtatafsiri wenyewe. Elimu na ucha mungu ni vitu viwili vinavyokwenda sambamba ili binadamu aweze kuishi na wengine kistaarabu. Kama unamjua umeelimika na una mcha mungu huwezi kwenda kwenye mitandao kuandika na kumdhalilisha binaadamu mwingine i do not care what he or she did to you. Kwani huwezi kumrekebisha mtu kwa lugha ya heshima maana we can not tell the difference ya mkosaji na mkosewaji sababu at the end of the end wote wameonyesha udhaifu wao wa fikra. DMV hii Tanzania day let all reflect our actions na tuishi kama watanzania wenye mila na desturi kuja huku marekani basi tumejua kukaa baa na kunywa kina Vodka au whatever hivyo vinavyonywewa mpaka watu wanapoteza utu isitufanye tuishi maisha ya ajabu, sisi ni WATANZANIA BWANA NA KWAME TUSISAHAU MILA ZETU. DJ LUKE PLEASE UTUPIGIE ULE MWIMBO " MIMI NI MTANZANIA NAIPENDA TANZANIA, NCHI YANGU TANZANIA.......... THAT SONG HAS A VERY POWERFUL MESSAGE. IM 100% Tanzania and im proud to be a Tanzanian!

Anonymous said...

If you say siku ya mtanzania then it should have nothing to do with politcs, Chadema or CCM and they dont have that party representation on that day, it should be about watanzania and nothing else, just to avoid the drama that comes with the two political party and to keep peace and all talk of politics should stay away from the event.

Anonymous said...

Hapo nimeona viongozi wa CCM DMV, wa jumuiya DMV na baadhi ya maofisa wa ubalozi na nakadhalikazi. Mbona wa CDM DMV hawakuwepo? Ni makundi gani hasa ya jamii yaliyoalikwa kwenye haya maandalizi kutoa mawazo yao? Just curious.