Advertisements

Tuesday, September 4, 2012

MSIBA DMV NA TANZANIA

Kwa majonzi na simanzi tunasikitika kutangaza kifo cha Mzee Stephen N. Waigama ambaye ni Baba mzazi wa ndugu yetu na mtanzania mwenzetu Edward S. Waigama kilichotokea jana tarehe 3/9/2012 huko Dar es Salaam Tanzania. Mipango ya mazishi inafanyika huko nyumbani, kama ilivyo desturi yetu tujitokeze kumpa pole mfiwa.

Anuani yake ni:

746 Quince Orchard Blvd,
Unit # 102
Gaithersburg, MD, 20778

Pia anapatikana kwa simu zifuatazo;

 Edward 240 899 6900

Lulu 240 899 2333

Tunaomba Mwenyezi Mungu awafariji wafiwa na pia tunamuomba aiweke roho ya marehemu mahali pema peponi.....Amina!

No comments: