Wanafamilia ya Musika wa DMV, wanasikitika kutangaza kifo cha mama yao na bibi yao mpendwa Rahabu Taraba Musika kilichotokea Septembet 2, 2012 huko Arusha, Tanzania.
Ndugu, jamaa na marafiki wa maeneo ya DMV wanakutana kwa ajili ya kutoa mkono wa pole kwa wanafamilia katika adress ifuatayo:
6731 New Hampshire Ave, Apt. 101
Takoma Park, MD 20912
Unaweza kuwasiliana na:
Rossie Musika-Wassira ()
Neema Musika ()
No comments:
Post a Comment