Huyo ni mkaazi wa kitunda kati manispaa ya Ilala jijini Dar es salaam, ameathirika ngozi yake baada ya kumwagiwa maji ya moto na mpangaji mwenzie kwa tuhuma za kugoma kulipa deni la Sh 1000 pesa ya kitanzania aliyokopa kipande cha samaki aina ya Sangara .
Kwa story zaidi sikiliza kipindi cha weekend special WAPO REDIO FM 98.0MHZ kila siku ya Jumamosi saa nane mchana au kupitia kwenye u stream search WAPO REDIO FM LIVE.
BY ANTHONY JOSEPH.
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake