|
Pita pita ya vijimambo harlem NY nikakutana na lori hili lenye nembo ya Rocawear, Rocawear ni nembo ya nguo zinazo milikiwa na nguli wa hip pop America Jay Z. Kilicho kuwa kinaendelea ndani ya lori hili ni biashara ya nguo hizo na vitu vingine vinavyo patikana kupitia nembo yake hiyo ya Rocawear. Watu waliingia na kujifanyia shoping ya vitu walivyo vutiwa navyo, inaonesha ni jinsi gani Jay Z anavyo jua kuitafuta pesa licha ya kuwa tajiri kwa music na kuwa partinership wa timu ya basketball ya Brooklyn Nets na pia nguo hizo zinazojulikana kwa jina la Rocawear, Acha awe tajiri kama anaweza kuwafata wateja wake kwa kutumia gari maalum kama hili ilimradi tu kukidhi kiu yao. |
Hapa ni Time Square kitovu cha New York City watu hupenda sana kutembelea kwa vile ni maarufu sana kwa new year ball trop.
Hapa ni underground subway watu wanaingia kwenye train siyo bongo tu watu wanabanana kwenye daladala hapa New York City pia tunabananishwa kama bongo ila hakuna kuchunguliana mifukoni.
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake