S.L.P 15558
DAR ES SALAAM
September 12, 2012
TAARIFA KWA
VYOMBO VYA HABARI
YAH:-BFT YATEUA WAAMUZI WA MASHINDANO
YA UBINGWA WA TAIFA 2012.
Shirikisho la ngumi Tanzania (BFT) kwa kupitia chama cha waamuzi wa ngumi za ridhaa wameteua na
kuwadhibitisha waamuzi watakao tumika katika mashindano ya ubingwa wa taifa
yatakayofanyika kuanzia tarehe 17-22/09/2012 uwanja wa taifa wa ndani.
Waamuzi
walioteuliwa ni:-
Mohamed
Kasilamatwi mwamuzi wa kimataifa na Juma Selemani mwamuzi wa Afrika kama
wasimamizi wa waamuzi.
Waamuzi wa
ngazi ya taifa walioteuliwa ni:-
Maneno Omari
Ridhaa
Kimweli
Mohamed
Bamtulla
Shija
Masanja
Mafuru
mafuru
Moshi makali
Hamza
abdallah na
Marko
Mwankenja.
,MAKORE MASHAGA (KATIBU BFT) 0713588818
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake