Baadhi ya wajumbe wa Baraza la Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi(CCM)
Mjumbe wa Baraza la vijana (UVCCM) ambae pia ni Mwenyekiti wa Vijana Mkoa wa Pwani na Mkuu wa Wilaya ya Kilwa Mheshimiwa Abdalah Ulega akichangia jambo katika Kikao hicho kilichofanyika jana katika ukumbi wa Sekretarieti, Dodoma.
Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana (UVCCM) Ndugu Martine Shigela akichangia ajenda katika kikao cha Baraza la Umoja huo,(katikati) ni Makamu Mwenyekiti Ndugu Beno Malisa na Naibu Katibu Mkuu Ndugu Mfaume Kizigo, wakiwa katika kikao cha Baraza hilo kililofanyika Jana tarehe 12 katika ukumbi wa sekretarieti maarufu kama (white house) uliopo Makao Makuu ya Chama, Dodoma.
No comments:
Post a Comment
bila kutumia lugha ya matusi na kumharibia mtu siku
yake