BAVICHA mkoa wa Arusha tunalaani aina hii ya
siasa, na tunamtaka mkuu wa Mkoa aache kutumia ofisi ya umma kwa maslahi
ya ccm vinginevyo aachie ofisi ya Umma. Tunatambua kuwa mkuu wa Mkoa ana
majukumu yake lakini Bwana Malongo Magesa amekuwa akiingilia utendaji wa
Halimashauri ya manispaa ya Arusha, na kuwa kama Mkurugenzi, hivi
karibuni alizuia Tenda ya kukusanya ushuru wa Mabango, kwa kuwa mzabuni
aliyeshinda sio chaguo lake na badala yake akataka kampuni ya ndugu yake
ndio ipewe Tenda wakati imetender kwa hela ndogo zaidi.
Tangu ateuliwe kushika wadhifa huu huyu RC amekuwa Kituko hapa Arusha, ameunda zaidi ya Tume tatu kuchunguza ubadhirifu ulio wazi wa Halmashauri ya manispaa ya Arusha,na hakuna hatua yoyote iliyochukuliwa huku tume hizo zikiwa zimetumia mamilioni ya walipa kodi maskini wa Arusha
BAVICHA tunamtaka afanye yafuatayo
1. Aache mara moja kutukana CHADEMA, na Viongozi wake, vinginevyo tutatangaza mgogoro naye
2. Aeleze umma wa Arusha juu ya Ripoti tatu za tume alizounda za kuchunguza ubadhirifu mkubwa katika Halimashauri ya manispaa ya Arusha, aeleze hatua gani alichukua
3. Achague kuwa Mkuu wa mkoa au Mkurugenzi
……………………..
Nanyaro Ephata
Mwenyekiti BAVICHA mkoa wa Arusha
14/9/2012

No comments:
Post a Comment