Katibu
Mkuu wa Wizara ya Fedha Ramadhan Khijjah (kushoto) wakibadilishana
hati ya makubaliano na Balozi wa Uholanzi Dr. Ad Koekkoek (kulia)
jijini Dar es salaam wa mkataba wa msaada wa bilioni 33 za kusambaza
umeme katika Wilaya ya Mpanda, Ngara na Biharamulo.
No comments:
Post a Comment