Kumekuwa na vurugu za hapa na pale, Polisi kupambana na vijana kwenye kituo cha kupigia kura wakati wa uchaguzi mdogo kumchagua Mwakilishi wa jimbo la Bububu Zanzibar leo. (pichani) Polisi wa kuzuia ghasia wakisaidiwa na kikosi cha Valantia kuwaondoa vijana waliojikusanya karibu na kituo cha kupigia kura kwenye Shule ya Bububu.Picha zote na Martin Kabemba.
Baadhi ya mawakala wa vyama wakifuatilia upigaji kura.
Kijana akitumbukiza kura yake kwenye kisanduku cha kupigia kura jwenye kituo cha Shule ya Bububu Zanzibar
Kiongozi wa chama cha siasa (kushoto) akizungumza na wandishi wa habari nje ya kituo cha kupigia kura Com.Net |
No comments:
Post a Comment