ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, October 31, 2012

ASAS ASAIDIA UJENZI WA MABWENI KILOLO

Mfanyabiashara maarufu mkoani Iringa na kada wa chama cha mapinduzi (CCM) Salim Abri Asas ( wa pili kulia) akikabidhi msaada wa mifuko 200 ya saruji yenye thamani ya zaidi ya Tsh. milioni 3 .2 kwa mkuu wa wilaya ya Kilolo Bw Gerald Guninita hivi karibuni ofisini kwake, wanaoshuhudia ni mwenyekiti wa Halmashauri ya Kilolo Joseph Mhumba ,kushoto na mkurugenzi wa Halmashauri ya Kilolo Momahend Gwalima
wadau wa elimu wilaya ya Kilolo wakiwa na mfanyabiashara Salim Asas,picha kwa hisani ya mdau Francis Godwin-Iringa.

No comments: