Mzee mmoja aliongozana na binti yake kwenda kwa mwanaume aliyempa mimba, huku akitweta kwa hasira.
Mazungumzo yalikuwa hivi:-
KIJANA:- Ni kweli mzee mimi nimemtia mimba binti yako. Ila akizaa dume nitakupa daladala kumi shell tatu na million 50 za mtaji, akizaa jike nitakupa supermarket 3, mashamba 6 na million 40.
BINT:- Je mimba ikitoka?
BABA:- Nyamaza wee pumbavu! si atakupa nyingine..
1 comment:
Lol. Hahahahahahaha. Julia
Post a Comment