ANGALIA LIVE NEWS

Monday, October 29, 2012

EID AL HAJI BOSTON, MASSACHUSETTS

Watanzania pamoja na waumini wengine wa dini ya kiislam wakiwa kwenye swala ya Eid iliyofanyika Boston, Massachusetts, nchini Marekani.
Mkuu wa wilaya ya Springfield Bwn. Kibodya akifuatilia Swala ya Eid
Mkuu wa Wilaya akiwa na mama mwenye nyumba wake
Watanzania waishio Massachusetts wakisherehekea sikukuu ya Eid Al Haji iliyofanyika Jiji Boston
Watoto wakifurahia zawadi za Eid kama unavyowaona katika picha.
Mkuu wa mkoa (kati) akiwa na wadau
Aunty akiwa kwenye sherehe za Eid Al Haji Boston, Massachusetts.
Aunty akipata ukodak moment
Mkuu wa wilaya Bwn. Kibodya akipata picha ya pamoja na Salum Salum (kulia) baada ya swala ya Eid Al Haji
Issu shoto katika picha ya pamoja na mkuu wa Wilaya.
Kwa picha zaidi bofya read more

No comments: