ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, October 3, 2012

HIVI NDIVYO BIRTHDAY YA DIAMOND ILIVYOKUWA D`MAGE HOTEL USIKU WA JANA




Kiukweli nitakua mchoyo wa fadhira endapo sintowashurukuru watu wote waliohudhuria katikaghafla fupi ya kusheherekea siku yangu ya kuzaliwa iliyofanyika usiku wa jana 02/10/2012 katika hotel ya DEMAGE kinondoni...de Night was Crazy n Amazin , kiukweli nimefurahi sana kiasi kwamba hata sijui niwalipe kitu gani...Maneno ya Diamond hayo akiwaambia wale waliojitokeza usiku huo wa birthday yake

Hii ni cake maalum ambayo aliniletea Wema kama moja ya zawadi ya Birthday yangu

Hapa Diamond akilishwa kipande cha cake na Wema
Wema kama kawaida awezi kucheza mbali wakitaniana na Diamond akisema nije na mimi na nguo zangu Diamond anajibu wewe ndo waukweli uhitaji kuhuliza njoo tu
Hapa Diamond akiwa na Dada yake wa hiyari Halima kimwana

Wema na dada yangu Esma wakilishana Cake





All de way from UK Naj pia alikuwepo

Dimpoz kwa Poz, Mboni Masimba na Mecky





Hapa tukiwa na Roho ya Wolper Legraa Dallas


Bhaaaaaaasssssssss....!


Rucky Beby tena...


Joff mnyama pia ndani

Hapa babtale na Naj wakiteta jambo


Team sheta pia Ndani....



Weeeeeeeeeeeeee.........!

Dallas tena......







Hapa wema na Mboni masimba

Kama ulikua haujui hawa ndio vijana wanaoongoza kwa Kuvimba mjini........LOL!









All de way from America Wasafi walikua ndani pia......














DOZEN & SHETTA

Watoto wa ManzeseTIPTOP pia ndani

Watuacheeeeee na Mama yangu mboni ali masimba.......

5 comments:

Anonymous said...

pole yake Jokate

Anonymous said...

Wema na Esma hiyo style ya kulishana keki mbona siielewi elewi....alafu naiona sana Tz, ni sawa kweli, hebu nisaidieni jamani...

Anonymous said...

kazi kweli ipo si usanii kupita kiasi bongo kuza sura na kutaka umarufu uandikwe kwenye gazetini ndo zao duu si alisema wema kama dada yake hivi sasa sasa iweje bi show anataka kuingi kwenye pool kukoga na kakaye na anabiwa yeye ndo wa kweli duuu kazi ipo bongo
halafu keki kulishana mdomoni mademu siyo kifaa hata kidogo au ndo tena mtindo wakisikuizi

halafu ndo watoto wetu wawafuate hawa watu ngooo ngoo bora wake huku huku marekani wasome wanangu wasipate balaa zao

hata hiyo birthday alikuwa anajua kusherehekea nzi hizo watu wengine bwana.

ulibukeni ndo umekushikeni siku laumuni

mdau LONDON

Anonymous said...

Cake haifai kulishwa hivyo kwa mashoga mama na watoto tena sio mtoto wa kiume. Au mume na mke ndo inafaa.

Anonymous said...

wachiyeni jamani waanue maisha ndo haya haya mwenye choyo na ajinyonge,wamepewa wache watumiye na kutanua.Maneno maneyo ya nini kila siku hamshi maneno,acheni za miaka arbaini kusini kiza titiri mambo yote siku hizi ya kizungu zungu kwenda mbele, keki mlishe shoga yako mdomoni, mlishe brother wako mdomoni,baba kila mtu sawa tu ndo uzungu watu huu, sisi wazungu wa kikwete mpo wavimba macho na waosha vinywa

mdau masaki