ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, October 31, 2012

KIONGOZI WA UPINZANI, RWANDA APATIKANA NA KOSA LA UHAINI

Kiongozi wa upinzani nchini Rwanda Victoire Ingabire (mwenye pingu) amehukumiwa miaka minane gerezani baada ya kupatikana na hatia ya kosa la uhaini

No comments: