Urban Pulse Creative inawaletea sehemu ya Pili Video ya Hotuba kutoka kwa Mh Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano Tanzania Mizengo Pinda alipokuja jijini London, Uingereza ili kukutana na kuongea na watanzania tarehe 15.10.12 katika ofisi za Ubalozi wetu. Asanteni,Urban Pulse Creative
No comments:
Post a Comment