ANGALIA LIVE NEWS

Sunday, October 21, 2012

MKUTANO WA JUMUIYA DMV

Katibu wa Jumuiya ya Watanzania DMV, Amos Cherehani akijibu moja ya maswali ya wanajumuiya yaliyoulizwa online.
Rais wa Jumuiya Bwn. Idd Sandaly akielezea jambo.
Wanajumuiya wakifuatilia jambo
Dr. Mwamoyo Hamza akiwa kwenye mkutano wa Jumuiya ya Watanzania waishio DMV
Watanzania wa DMV waliojumuika pamoja kwenye mkutano wa jumuiya yao uliofanyikia Mirage Hall.
Matinyi akiwa ndani ya mkutano.
Wanajumuiya wakiwa mkutanoni
Kwa picha zaidi bofya read more

No comments: