O'Nkosi Erick Fungo ni mtaalam wa ngoma za asili aliesomea Bagamoyo College Of Performing Arts, Tanzania East Africa. ." O'Nkosi Erick Fungo kwa sasa anaishi Brooklyn, NY akiendeleza shughuli zake za kufundisha ngoma za asili katika vyuo na mashule mbali mbali. Katika picha hizi tunaona wanafunzi wake wakizicharaza ngoma katika baadhi ya elementary schools anazofundisha.
O'Nkosi Erick Fungo pia kwa sasa anafanya project inayojulikana (RITES OF PASSAGE,,) na kikundi chake cha ngoma utoa burudani sehemu mbali mbali pale anavyo pata mwaliko wa kwenda kutoa burudani hiyo.
Watoto wa shule wakicharaza ngozi ya ng'ombe baada ya kupata mafunzo na O'Nkosi Erick.
Juu na chini Watoto wakiendelea na ufundi wa kupiga ngozi ya ng'ombe






3 comments:
Hongera sana kaka Fungo.
Erick kumbe uko mbali hivi??... Rachel nami nakuja na moto usiozimika... Erick ananitambua...hahahaaa
Hahahahaa dadake nami nakutambua sana tuu ...Amka mwanamke wa Shoka!!!!!!!
Post a Comment