ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, October 31, 2012

RAIS OBAMA AWASILI NEW JERSEY, NEW YORK KUTEMBELEA SEHEMU ZILIZO ATHIRIKA NA HURRICANE SANDY

Hapa rais Obama akisalimiana na Gov,  Chris Christie baada ya kuwasilia Atlantic City leo hii tayari kwa kuanza safari ya kutembelea maheneo yaliyo alibiwa na Hurricane sandy. Hurricane Sandy imeharibua vibaya maheneo ya NJ, NY na kuacha sehemu nyingi kutokuwa na maji safi umeme na hata usafiri wa ndani na nje kutopatikana kabisa leo hadi sasa. Na pia kuacha dozen of people bila makazi na watu zaidi ya 20 kupoteza maisha katika maheneo hayo usika.

2 comments:

Anonymous said...

sehemu zilizo asirika? "asirika" is that swahili or kimakonde?

Anonymous said...

Governor Chris Christie needs some serious gym time