
Timu ya Stars United ilipokua ikielekea Atlanta kucgwza na timu y Kenya

Wachezaji wa Stars united wakipata Ukodak Moment na mashabiki njiani wakati iliposimaa kwa chakula.

Tukibadilisha tairi Norh Calorina.

Tukirudi toka Atalanta tulipoishinda timu ya Kenya bao 4-1
Timu ya Stars United inayoundwa na wachezaji mchanganyiko kutoka majimbo tofauti hapa Marekani November 21, 2012 itaelekea Houston, Texas ambako itacheza mechi katika shareahe za Thanksgiving zinazofanyika kila Thanksgiving. mpaka sasa wachezaji waliothibitisha kwenda ni 12, na baadhi ya wachezaji kuthibitisha mmisho wa mwezi huu.
Wachezaji waliothibitisha kwenda ni Libe, Evans, Ebra, Yusuf, Aloys Kiyori, Edgar, Gharib, Denis (UG), Hadji, Inno, Denis (NC) na Gude
Wachezaji wenyenia ya kwenda ambao bado hawajathibitisha ni Tif, Shaban, Owen, Simon, Njenje, Aloyce.
Wachezaji wengine wenye nia ya kwenda Tafadhali wasiliana na Libe 240 423 331, Hadji 404 924 9307, Muly 857 312 8345 na Simon 336 524 4687.
No comments:
Post a Comment