ANGALIA LIVE NEWS

Monday, October 29, 2012

SUSAN LUGANO KITCHEN PARTY ILIYOFANYANYIKA BIRMINGHAM, AL

Susan Lugano akiwa katika pozi siku ya kitchen party yake iliyofanyaiki Birmingham , AL wadada walipendeza katika vazi la ramgi nyekundu. Pata picha ya warembo walivyo kuwa wamependeza siku hiyo.
Susan akiwa kitandani
Susan akiingia ukumbini hapo
Susan Lugano akikata cake
Susan akipata ukodak
Warembo katika picha ya pamoja na Susan, kwa picha zaidi bofya read more

1 comment:

Anonymous said...

kumbe Alabama kuna wadada wazuri hivyo.Mmependeza sana wadada.