
Mitaa ya New York inavyoonekana mpaka sasa hivi idadi ya watu waliokufa inafika 50 na watu wasiokua na umeme kuanzia North Carolina mpaka New England idadi imefikia milioni 8 na leo Rais Barack Obama anatarajiwa kutembelea maeneo hayo ya New Jersey na New York kwenda kutizama hali halisi na kuwapa pole waathirika na kuwafariji waliopotelewa na wapendwa wao, usafiri wa treni wa mji huo usiolala pia umesitishwa kutokana na maji kujaa kwenye njia za treni zinazofanya safari zake chini ya ardhi kwenye mji huo wa NYC.

Wakaazi wa New York wakitoa maji yaliojaa chini ya nyumba zao

Watu wakijaribu kutoa maji kwa mashine New York Cty.

Wengine wakitumia ndoo kupunguza maji yaliyo athiri nyumba zao.

Huu ni mgahawa mmoja wapo New York City

Waokoaji wakijaribu kucheki kama kuna watu waliosalimika hii ilikua jana baada ya upepo mkali kupungua kabla ya hapo Helkopa ilikua haendsheki kutokana na upepo mkali uliokua ukienda Mile 80 kwa saa (Km 120)

Moja ya Casino New Jersey ikiathirika na maji

Barabara hazikupitika

Petrol station hakuendeki

Barabara kama unavyoona

Ukuta wa nyumba umebomolewa na upepo mkali
No comments:
Post a Comment