Advertisements

Saturday, October 27, 2012

Viongozi Wapya UVCCM Wapokelewa Kwa Mapigano Dar





Kundi linalodai kuwa viongozi wapya wa UVCCM limetumia rushwa,limewapokea kwa ugomvi viongozi wapya leo waliporejea Dar es salaam kutokea Dodoma
Kwa Hisani ya Ngurumoblog

No comments: