ANGALIA LIVE NEWS

Wednesday, October 17, 2012

Vurugu zazuka Zanzibar baada ya habari kusambaa kuwa kiongozi wa ‘Uamsho’kamatwa





Huyu ndiye Kiongozi wa Kundi linaloitwa UAMSHO la Zanzibar Sheikh Farid anayesadikiwa  kukamatwa huko Visiwani Zanzibar. Kundi hilo shughuli zake ni za mihadhara ya Kidini hasa ya Kiislam. Picha zote na akhtarissak
Kwa mujibu wa Katibu wake, Abdallah Said Ally, amesema alikuwa na dereva wake maeneo ya Michenzani akitokea nyumbani kwake Mbuyuni, ndipo akakutana na gari moja ambalo dereva halifahamu na akashuka mwenyewe kwenye gari lake na kuingia katika hilo gari na kuanzia hapo hadi sasa hajulikani alipo.
Katibu huyo wa Uamsho na wenzake wamekuwa katika juhudi za kutuliza jazba za wafuasi wao na sasa wanawasiliana na polisi kujua alipo kiongozi wao.
Habari zaidi baadae

1 comment:

Anonymous said...

Ni kweli serikali inajua yuko wapi na hakuna aliyefanya hivyo isipokuwa ni CCM wakishirikiana na Usalama wa Taifa kutoka bara. na huenda akawa amefichwa katika kanisa la mnara 2. Allah atamlinda na haya yote inshallah na atamvua salama wa salimin. mmefukuza kazi mtetezi wetu mansoor himid sasa mmeteka simba wetu,mnajifanya wajanja lakini kaeni mkijua mkimuuwa au kumtesa hapatotosha zanzibar na hata bara pia na Allah anakuoneni, duniani ni transit mnapita njia tendeni wema enyi waja kuna siku you are going to meet your maker na utahukumiwa usidhai kwamba madhambi yenu yamesamehewa ohooo shauri yenu

muugopeni mungu si wakufanyiwa maskhara.